Christian Ronaldo afunguka mengi kuhusu Messi “Ningependa kumuona akicheza ligi ya Italia kama mimi” | Pekua Ndani

Find Jobs In Tanzania

Breaking News
Loading...

Monday, December 10, 2018

Christian Ronaldo afunguka mengi kuhusu Messi “Ningependa kumuona akicheza ligi ya Italia kama mimi”

Mchezaji wa klabu ya Juventus ya Italia na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amefunguka mengi sana kuhusu mpinzani wake mkubwa anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona na raia wa Argentina Lionel Messi.


Wakati anaongea na jarida la Gazzete Dello Sport Ronaldo amefunguka haya:-
“I would like him to come to Italy one day Like me, Accept to challenge. But if he is happy at Barcelona I respect him, He is a fantasic player”



“Ningependa kumuona akija kucheza katika ligi ya Italia siku moja Kama mimi, aweze kukutana na Kukubali kuwa kuna changamoto nyingine, Lakini kama yeye ni mwenye furaha katika klabu yake ya Barcelona sawa maana Mimi namheshimu sana, Yeye ni mchezaji bora na mzuri sana ”
Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT