Ndege Yetu Mpya AIRBUS A220-300 kutua Nchini Jumapili | Pekua Ndani

Find Jobs In Tanzania

Breaking News
Loading...

Friday, December 21, 2018

Ndege Yetu Mpya AIRBUS A220-300 kutua Nchini Jumapili


Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema Serikali itapokea ndege yake nyingine mpya toleo la Airbus A220-300  Jumapili Desemba 23, 2018.
Abbas ameeleza hayo leo Ijumaa Desemba 21, 2018 katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.
“Ungana nasi kuipokea ndege ya kwanza kununuliwa na Serikali kwa toleo la Airbus A220-300. Ni Tanzania pekee.’Ngorongoro-Hapa kazi Tu’, itawasili nchini Jumapili hii na siku chache baadaye ndege nyingine kama hiyo itawasili Dodoma-Hapa Kazi Tu,” ameandika Dk Abbas.

Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT