Hii ndio rekodi na idadi ya magoli ya Ronaldo kwenye hatua ya makundi UEFA ndani ya miaka 10 | Pekua Ndani

Find Jobs In Tanzania

Breaking News
Loading...

Friday, December 14, 2018

Hii ndio rekodi na idadi ya magoli ya Ronaldo kwenye hatua ya makundi UEFA ndani ya miaka 10


Mchezaji wa klabu ya Juventus ya Italia na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ambaye ndio anaongoza kwa kuwa na magoli mengi katika michuano ya UEFA Champions League tangu michuano hiyo ianzishwe.

Cristiano Ronaldo ana jumla ya magoli ya UEFA 121 na ndio mchezaji anayeongoza kwa kuwa na magoli mengi kuliko yeyote lakini pia ndio mchezaji aliyefanikiwa kubeba mataji mengi ya UEFA akiwa na mataji 5 na kufanikiwa kuchukua tuzo za mchezaji bora wa dunia Ballon d’or kwa nyakati 5 tofauti akiwa sawa na Muargentina Lionel Messi.

Mbali na rekodi hizo za Ronaldo, zifuatazo ni rekodi zake za kufunga magoli katika michuano hiyo mikubwa barani Ulaya ya UEFA Champions League katika hatua ya makundi ndani ya miaka 10 kuanzia mwaka 2009/10 hadi mwaka 2018/19.

Katika vipindi vyote hivyo mwaka 2015/16 ndio alifunga magoli mengi zaidi alikuwa na magoli 11 lakini msimu huu 2018/19 ndio msimu mbaya sana kwake kwani ana goli moja tu.
By Ally Juma.
The post Hii ndio rekodi na idadi ya magoli ya Ronaldo kwenye hatua ya makundi UEFA ndani ya miaka 10 appeared first on Bongo5.com.

Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT