KINDOKI AKABIDHIWA MIKOBA YA KABWILI, NINJA AWANYANYUA MASHABIKI | Pekua Ndani

Find Jobs In Tanzania

Breaking News
Loading...

Thursday, December 20, 2018

KINDOKI AKABIDHIWA MIKOBA YA KABWILI, NINJA AWANYANYUA MASHABIKI



Mchezo wa Ligi Kuu unaendela leo kati ya African Lyon na Yanga uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anawanyanyua mashabiki wa Yanga dakika ya 64.
Dakika ya 40 kipindi cha kwanza Ramadhani Kabwili mlinda mlango wa Yanga alitolewa akiwa  kwenye machela baada ya kuumia, nafasi ilichukuliwa na Klaus Kindoki, mchezo wa mwisho kudaka ilikuwa dhidi ya mwadui FC ambapo alitolewa nafasi yake ikachukuliwa na Ramadhan Kabwili.

Jafari Mohamed alitoka pia dakika ya 40 baada ya kuumia akaingia Deus Kaseke kuchukua nafasi.

Weka Maoni yako Hapa

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT